Friday, November 01, 2013

ISIKE ATAMBULISHA MOVIE YAKE MPYA WOLPER NA MAINDA WAANYA MAKUBWA

THE SUPERSTARS TZ: Up coming movies
Mtengenezaji wa filamu ndani ya bongo Isike ameweka wazi cover ya movie yake mpya anayotarajia kuitoa hivi karibuni.

Akizunguza na thesuperstarstz Isike amesema ana matumaini makubwa kuwa filamu yake itafanya vizuri kwani ni kawaida kwa filamu zake kufanya vizuri na ana uhakika hatawaangusha wadau wake.
Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la tulizana imewashirikisha Stanley Msungu,,Jack wolper,,,n Mainda kaa tayari kupata nakala yako mara itakapoingia sokoni.

No comments:

Post a Comment