Friday, December 27, 2013

ASHLEY TOTO AWATEGA MASHABIKI ZAKE SOMA ALIVYOMNANGA BOB JUNIOR RAISI WA MASHAROBARO

Yule mwanadada sumu katika ndoa ya bob junior au Raisi wa masharobaro aliyefanikiwa kuitekeza ndoa ya raisi huyo wa masharo na mkewe Ashley Toto au maarufu kwa Toto,leo ameamua kuweka mtego katika ukurasa wake wa facebook na kujikuta akimkashifu raisi huyo.

Mwanadada huyo mrembo raia wa kenya mwenye makazi yake nchini ujerumani ameonyesha kukerwa na jinsi mashabiki wake walivyokuwa wanaonyesha kubariki uhusiano wake na raisi huyo wa masharobaro na kujikuta akiuliza kuwa hakuna wanaume wengine zaidi ya huyo raisi wa masharobaro kila saa yeye tu alihoji mkali huyo wa movie aishie ujerumani.

 
                                        FUATILIA HAPA UONE ILIVYOKUWA
22 hours ago via mobile 

IS TOTO SINGLE???? OR ANA DATE NA NANI??? AU NAFAA KU DATE NA NANI??
  feeling happy.
Like ·  · Stop Notifications · Share

No comments:

Post a Comment