Monday, December 02, 2013

BONGO MOVIE WARUDISHA HESHIMA

  Ni baada ya mechi  kati ya bongo movie na bongo fleva iliyofanyika jana  katika viwanja vya TCC  Chang`ombe kuanzia asubui mpaka  jioni.
 Bongo movie wametoka  kifua  mbele baada ya kuwafunga bongo fleva magoli 3 kwa 2.Mechi hiyo ilihudhuriwa na mashabiki wa bongo movie na bongo fleva kwa wingi.

No comments:

Post a Comment