Tuesday, December 24, 2013

KAKA WA MICHAEL JACKSON AWAKUBALI PSQUARE

Kaka wa marehemu Michael Jackson ambaye alikuwa mmoja kati ya wana ndugu wa tano waliokuwa wanaunda kundi la Jackson five Jermain Jackson ameonyesha kukubaliana na  na kusifia kama sio kupongeza walichokifanya Psquare katika wimbo wao  wa Personally ambao wamemuenzi ndugu yao ambaye alikuwa mfalme  wa pop duniani hayati Michael Jackson kwa kucheza kama yeye.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment