Wednesday, December 04, 2013

LILE BOMU LALIPUKAMUDA HUU HUKO MOROGORO

Kishindo kikubwa kimesikika maeneo ya karibu na Mazimbu mkoani Morogoro muda huu baada ya wanajeshi wa JWTZ kulipua kulilipua lile bomu lilikuwa katika makazi ya watu toka juzi....!Taarifa zaidi na picha zitawajia hivi punde,stay tuned.

No comments:

Post a Comment