Wednesday, December 04, 2013

MASTAR WA FILAMU WAIKAMILISHA DALADA TAZAMA TRAILER YAKE HAPA...NDANI KUNA MONALISA, KING MAJUTO NA MTU MZIMA SULEIMAN BARAFU.


Kama ilivyokawaida ya majuto mkali wa vichekesho nchini hapa kafanya yake huku akishirikiana na mastar wengine walifanya vizuri sana ndani ya Filamu hii inatarajiwa kutoka tarehe 7 mwezi huu wa December na mastaa ni humu ndani ni pamoja na  Yvonne Cherryl(Monalisa), King Majuto na Suleiman Barafu ambaye pia ndiye producer wa filamu hii inayosambazwa na Leo Media. Angalia trailer yake hapo chini.........


No comments:

Post a Comment