Friday, December 13, 2013

MUNGU ATUNUSURU KWAKWELI HEBU TAZAMA PICHA HUYU MTOTO ANACHOKIFANYA

 Hii ni hali ya hatari sana kwa nchi yetu kiukweli kwa hali hii bado ni ngumu kwetu kuuaga umaskini kama tutakuwa tunapishana sisi na wanyama katika madibwi ya maji yaani wanapita wanyama wanakunywa na kukanyaga alafu sisi tunakunywa pia.

Wananchi inabidi tuamke ili kuleta mabadiliko katika jamii zetu lakini pia serekali tufungue macho tuangalie maisha ya wapiga kura wetu walioko vijijini  badala ya kungaa katika tv kwa wapiga kura wa mijini na kusahau kuwa vijijini kuna wapiga kura na hawaioni hiyo tv .


No comments:

Post a Comment