Monday, December 30, 2013

MWANAMUZIKI LADY JAY DEE AWEKA PICHA YA NYUMBA YA ALIPOZAWA...SOMA ALICHOKIANDIKA

Mwanamuziki marufu nchin tanzania judith mbibo maarufu kama lady jay dee ama binti machozi leo amepost picha ya nyumba hapo juu na kuandika hivi   

Kwenye nyumba hii, ndani ya chumba chenye dirisha hilo linaloonekana, Mkoani Shinyanga ndipo nilipozaliwa kabla ya kupelekwa hospitali.....Kufuatilia historia ya nilipotoka.
Haya kwa wale waliokuwa na maswali mengi wakitaka kumjua jaydee alipozaliwa na dhani sasa mmepata mwanga na pia kwa maelezo zaidi kuhusu hili basi 
Usikose kuangalia Diary mpya ya Lady JayDee Jumapili ya kwanza ya mwaka 2014, Tarehe 5 January. EATV Pekee
Marudio kila Jumatatu saa 8:00 mchana na Alhamis 4:00 usiku

No comments:

Post a Comment