Sunday, December 01, 2013

PICHA ZA MSHINDI WA EBSS 2013 ALIPOKUWA AKIIMBA HADI ANAPOKEA ZAWADI

DSC_0068
jukwaa lenyewe alipojinyakulia kitita hicho kijana Emmanuel Msuya
DSC_0098
 Hongera kaka kwa ushindi ulioupata ila usibweteke na iona umefifika matokeo yake utazimika kama mshumaa namaanisha utawaka kwa pesa ulizopata nikiisha utazima na kuisha kama mshumaa na utapotea kabisa,kwangu naamini kijana ukitumia akili utafika mbali kwani mtaji wako wa kwanza ni hiyo kuonekana na kujuana na watu pili ni ujuzi ulioupata na tatu ni pesa ulizopewa  kwahiyo jitume kuwa na dhamira ya ukweli utafika mbali hayo ni maoni tu ya thesuperstarstz. tunakutakia mafanikio mema kaka na karibu katika duru ya masuperstars.

No comments:

Post a Comment