Sunday, December 29, 2013

Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuhika.

PICHA:WASTARA NA WASANII WENZAKE WAENDA KWENYE KABURI LA SAJUKI NA KUMUOMBEA DUA JANA

Mzee Chiro akiwa na Wastara.  
Mzee Chiro akiwa na Wastara Msanii wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
  

Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.
Wastara na Frora Mvungi  
Wastara na Flora Mvungi Dua ikisomwa  
Dua ikisomwa
IMG-20131228-WA0068
IMG-20131228-WA0069
IMG-20131228-WA0077

No comments:

Post a Comment