Tuesday, December 03, 2013

TAHADHARI PICHA ZINATISHA...KWA MARA YA KWANZA MWILI WA MAREHEMU PAUL WALKER WA FAST AND FURIOUS WAONYESHWA

Paul Walker
Paul Walker
Hivyo ndivyo zilivyoonyeshwa Kwa mara ya kwanza picha za mwili wa marehemu Paul Walker wa Fast 5 and Fast & Furious 6 mungu ailaze roho ake mahali pema pepon amin

1 comment:

  1. Sio kweli hebu acheni kufata mkumbo mnatakiwa muwe ki proffasional hii ni blog tunayo iamini mnajishusha hadhi yenu muonekane hamko makini na habari zenu!! Hizi ni photo edit kwani mwili wa paul umeteketea kabisa na kubaki mkaa kiasi ya kwamba ma daktari ma bingwa kabisa wametoa wiki moja kuweza kuchukua DNA za kina paul kumjua yupi ni yupi sababu wameungua kabisa sio huu mwili wa plastic photo shop

    ReplyDelete