Friday, December 13, 2013

WADAU WA SIMBA HII NI AIBU KWA KOCHA WETU WA MAKIPA JAMES KISAKA TUMSAIDIENI JAMANI

 
TANGAZO

:Wana Simba s.c hebu mchangie mwanachama na mwalimu wa makipa James Kisaka,kumbukeni makipa wengi wamepita mikononi mwake.Na Hivi sasa anaumwa na ugonjwa ulianzia akiwa uwanjani.,na ameugua akiwa muajiriwa wa Simba,amekutwa na fangas kwenye mishipa ya Ubongo na kupelekea mkono na mguu kukosa nguvu..

Kwa maelezo yake leo kwnye taarifa ya habari star tv amesema Toka aanze kuugua amepewa shilingi laki mbili tu toka klabuni,hakuna mchezaji hata mmoja aliyekwenda kumuona hta Kaseja japo ni mmoja wa makipa aliowafundisha.
DAH!!!!!!.INASIKITISHA SANA BINADAMU KUGEUZWA TAMBARA LA DEKI,UMUHIMU WAKE PALE UNAPOHITAJIKA..CHONDE CHONDE WADAU WA SOKA BILA KUJALI CLAB ZETU  TUJITOKEZE KWA WINGI KUMSAIDIA MTANZANIA MWENZETU NA PIA MWANAMICHEZO NA KOCHA WETU KUPATA MATIBABU YA HARAKA,TUJITOKEZE  NI KWA WINGI JAMANI...RAGE POPOTE ULIPO HII NI AIBU KYAKO HII,UMEAGA UNAENDA ULAYA KULA BATA WKT MWENZIO ANAUMWA NA HANA MSAADA...Bongo ndomana kila mtu fisadi,ukiishi kizalendo utakufa masikini na hakuna wa kukusaidia.Chukua Chako Mapema

No comments:

Post a Comment