Sunday, December 08, 2013

TAZAMA JINSI DIMOND ALIVYOTINGA NYUMBANI KWA MENGI

 Mwezi huu,tarehe 16,miss Tanzania wa zamani , Jackline 
Ntuyabaliwe aka K-lyn aka mama twins pia
 mke wa Mzee Reginald Mengi alikuwa anatimiza umri wa miaka kadhaa ya kuzaliwa,
Msanii Dimond alipata fursa ya kuhudhulia sherehe ya birthday na kutoa
 burudani iliyowastahili wageni waalikwa pamoja  na miss Jackline na familia yake
 Nyumbani nikichagua viwalo


 With my boy,ndugu yangu..Romy Jons

 Romy kageuka mfotoaji sasa
" pitia huku mdogo wangu''Romy akinielekeza 
nzuri ya kuingilia ukumbini tufanye yetu

 Jack akimlisha cake mmewe kipenzi,mzee Mengi
 with my boys,team yangu isiyoniangusha daima

 Kazi ikaanza
     Baada ya onyesho..me na Mzee Mengi pamoja
 na mkewe Jackline tukifurahia jamboTukizungumza jambo flani mhimu......!!!

No comments:

Post a Comment