Sunday, December 29, 2013

TAZAMA PICHA UZEMBE WA WAOSHA MAGARI WALIVYOTUMBUKIZA TOYOTA CRUSER (KILIMO KWANZA )MTONI

Gari aina ya kilimo kwanza lenye thamani kubwa likiwa mtoni kwa uzembe wa waosha magari na kusababisha gari hili kuingia mtoni hakuna majeruhi ila gari imepata hitilafu kidogo

No comments:

Post a Comment