Saturday, December 07, 2013

TAZAMA PICHA ZA JANETH PINDA MTOTO WA WAZIRI MKUU ALIVYOTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI LEO.

PG4A7831

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia)  wakiwa na Binti yao Janet Pinda  ambaye alitunukiwa  Shahada  ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro  Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 PG4A7887
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda  (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika  Nyema (wapili kulia) na  Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa  Shahada ya Uzamili  ya Uongozi  katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A7892
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (Kulia)  akipongezwa na mdogo wake Nasirika Nyema   baada ya kutunukiwa  Shahada ya Uzamili  ya Uongozi katika Mifumo ya Afya  kwenye Mahafali  ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A8096
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,  Janet Pinda akipongezwa na shangazi yake , Beatha Pinda Kaitira (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya uongozi  katika mifumo ya afya kwenye mahafali ya chuo kikuu cha mzumbe mjini Morogoro December 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment