Wednesday, January 15, 2014

ACTRESS DEVOTHA ANAYEFANYA POA KATIKA MOVIE ZA KISWAHILI ULAYA ATAKA KUWA NA MTOTO WA KIZUNGU

1486832_559124634176656_1874048853_n 
Muigizaji Devotha Alfred akiwa location kwenye moja kati ya movie


1090941_495906000498520_352859325_o ActressDevotha Alfred  akiwa kwenye pose
       Muigizaji chipukizi  wa V.A.D wa  film za kiswahili  anaekubalika nchi za ulaya  na Afrika Devotha Alfred au Mama wa passport love , kama anavyojulikana na wengi, ameonekana akiwa amemshika mtoto wa kizungu kwa upendo na tabasamu kubwa hali iliyowafanya watu waliyoziona picha hizo katika ukurasa wake wa facebook kuisi kuwa muigizaji  huyo wa kitanzania mwanafunzi  anaeishi germany  , kuwa labda anapendelea kuwa na mtoto wa kizungu . Swahili movies ilipopata habari hizo bila kuchelewa ilipitia kurasa wake huo na kuona maswali aliyoulizwa binti huyo na ilipojaribu kumtafuta ili kuweza kujua ukweli hatukuweza kupata mawasiliano yake, …..     tazama picha zifuatazo  ila swahili movies itakapompata itakuletea habari kamili…..

DSCF3855Muigizaji Devotha Alfred akiwa amemshika mtoto wa kizungu kwa upendo sana
DSCF3856Muigizaji Devotha Alfred akiwa tabasamu kubwa usoni  na mtoto wa kizungu

No comments:

Post a Comment