Wednesday, January 01, 2014

AJALI MBAYA IMETOKEA ENEO LA CCM MBEYA USIKU WA LEO NA KUUA MTU MMOJA TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::

 Boda boda Mbili zikiwa zimegongana
 Mashuhuda
 Gari Jengine lililo husika na ajali hiyo
 
 Watu wakiwa wanatazama ajali hiyo
 Boda ikiwa imeharibika vibaya
 Gari dogo likiwa limeharibika baada ya ajali hiyo
 Hii maiti ya Dereva wa bodaboda ambaye alifariki hapo hapo
 
 
Watu wakiwa wanashuhudia ajali hiyo

No comments:

Post a Comment