Sunday, January 26, 2014

BAADA YA KUWEKWA WAZI KWENYE MITANDAO KUHUSU MAHUSIANO YA MISS HUYU NA DIAMOND...HAMISA ATOAKA KAULI ENYE UTATA

Baada ya taarifa kusambaa katika mtandao kuwa mrembo huyu ndie anaetoka na Diamond Platnumz kwa sasa mrembo huyu ametoa kauli ambayo imekuwa na utata fulani na kuwaacha baadhi ya watu wakiwa na sinto fahama usome hapa ujumbe huu
Ujumbe huu umewaacha midomo wazi hasa wale waliokuwa akifuatilia kwa karibu taarifa za wawili hawa kuwa na uhusiano wa kimapenzi kauli ambazo ziankuwa na utata zimeanza kutoka tusubili ukweli upo na utajulikana

No comments:

Post a Comment