Monday, January 06, 2014

BREAKING NEWSS:::MIILI YA WATU WATANO WALIOKUFA YAOKOLEWA ZANZIBAR BAADA YA BOTI YA KILIMANJARO 2 KUPATWA NA DHORUBA,MASWALI YATAWALA VICHWANI MWA WATU KWANINI TAARIFA ZA MCHANA WALIKATAA HAKUNA ALIYEPOTEA WALA KUACHWA MAJINI?


BREAKING NEWSSSSSSS BAAADA YA SERIKALI YA ZANZIBAR KUFICHA UKWELI MCHANA,MDA HUU WAMETOA TENA TAMKO KWAMBA NI KWELI WATU WALITUPWA BAHARINI BAADA YA BOTI YA MV KILIMANJARO KUPATWA NA DHORUBA BAHARRINI ENEO LA NUNGWI,WATU 5 WAMEFARIKI DUNIA NA MAITI ZAO ZIMEPATIKANA,NA WATU WA 3 WAMEOKOLEWA,UOKOAJI WA KUTAFUTA MIILI MINGINE  19 ITAENDELEA KESHO,JE KWANINI TAARIFA YA AWALI ILIKATAA KWAMBA HAKUNA VIFO WALA WATU WALIOTUMBUKIZWA BAHARINI?

No comments:

Post a Comment