Friday, January 17, 2014

DIAMOND NA PROF JAY KATIKA NGOMA MOJA CHINI YA BONGO REC TAZAMA VIDEO WALICHOSEMA

Ama kwahakika watu wazima wanapokutana hakiharibiki kitu na kauli naamini itajidhihirisha hivi karibuni maara baada ya mtu mzima p.funky majan kufanya yake ndani ya bongo recode kwakuwakutanisha mtu mzima prof jay na Diamond platnum katika ngoma moja ambayo naamini itakuwa kali sana.

CHEKI VIDEO JINSI WATU WAZIMA WANAVYOELEZEA


No comments:

Post a Comment