Saturday, January 18, 2014

ETI HAWA NDIO MASTAR WA BONGO FLEVA WANAOFANANA NA MASTAR WA MUZIKI MAJUU

Hebu nipe maoni yako kuhusu hawa wasanii wa bongo kusemekana wamefanana na hawa wa majuu we unasemaje je ni kweli ama ni maneno tu hebu cheki picha kisha acha maoni yako hapa na useme yupi kafanana kati ya hawaa
MWANA FA NA FABULOUSGODZILLA NA 50 CENT
50 CENT NA CRAZY GK
T-PAIN NA QUICK
QUICK RACKA NA T-PAIN
AMINI NA JOE
AMINI NA JOE THOMAS

No comments:

Post a Comment