Friday, January 03, 2014

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE.

Star wa filamu Swahiliwood Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa operasheni katika hospitali ya taifa Muhimbili Jumapili iliyopita. Rose na mwanae huyo wanaendelea vizuri huku Rose akisisitiza kuwa binti yake huyo amefanana sana na baba yake. Pia star huyo wa filamu za Deception, Cut Off, Waves Of Sorrow na Swahiba alisema kuwa atarudi kwenye issue zake za filamu baada ya mtoto wake kuwa na umri wa kuweza kumuacha peke yake bila yeye kusumbuka
  chanzo Swahili World Planet

No comments:

Post a Comment