Thursday, February 20, 2014

BIG DADY MWANAMIELEKA DUNIANI AFARIKI DUNIA


 Big Daddy V enzi za uhai wake katika moja ya onyesho kubwa la mieleka

Mcheza mieleka marufu duniani ajulikanae kwa jina la Big Daddy V akiwa kazini katika moja ya maonyesho yake

Yule mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.

mungu ailae roho yake mahali pema peponi Amin.
HII NI MOJA YA VIDEO IKIMUONYESHA AKIFANYA ONESHO LA MIELEKA
No comments:

Post a Comment