Tuesday, February 18, 2014

BIG STEP YA ASHLEY TOTO KUSAFIRI TANZANIA KWAJILI YA KU SHOOT MOVIE


 Msanii mahiri ambaye utazani ana uzoefu mwingi katika tasnia ya filamu inchini Denmark Ashley Toto, Yuko kwenye maandalizi yakwenda Tanzania ambako amepata mwaliko wakwenda kuigiza filamu na wasanii wa huko, ikiwa ni step kubwa sana ambayo yeye pia alikuwa akisubiri kwa hamu kubwa.

Kampuni inayomuitaji Ashley Toto kwenda Tanzania imesema inamuitaji wakati wowote ule aende kufanya nao kazi. Bila shaka Msanii huyo mahiri amesema kwamba yuko tayari kwakupiga hatuwa hiyo. 
Msanii huyo ameihambia Umoja Radio kwamba bado hajajuwa wakati ghani atakwenda huko Tanzania kwa sababu bado yuko kwenye kazi yake na anasubiri likizo ili mpango mzima uanze. Bila shaka kukiwa mengi kuusu safari yake Umoja Radio itakujulisha kwa sababu ya mawasiliano mazuri na msanii huyo. 

No comments:

Post a Comment