Tuesday, February 25, 2014

BOB JUNIOUR AFUNIKA MASTAR WOTE HII NI KUFURU YA AJABUAma kwa hakika sasa muziki wa bongo umeanza kulipa japo sio kwa wote ila wachache wanaopigina na kufanya vyema hii inakuja baada ya hivi majuzi msanii Lady jay dee kuweka mkoko wake mya na kuwaumiza wasanii vichwa kwa kutaka nao kumiliki kama mwanadada huyo.


Bob Junior msanii na prouduser wa muziki anayefanya vyema sokoni hivi majuzi alifanya uamuzi wa busara kwakurudiana na mkewe ambaye waliokuwa wameachana huk wakiwa na mtoto mmoja .


 Yeye ameamua kufanya kufuru kwa kuweka picha ya gari lake jipya aina ya Jeep jeupe huku akiwasii wasanii wasikate tamaa na kikubwa ni kumuamini mungu yote yanawezekana.


        Tazama hapa chini picha ya hilo gari Hongera sana Bob kwa atua hiyo.

No comments:

Post a Comment