Monday, February 10, 2014

HIVI NDIVYO MASTAA WALIVYOTOA SAPOTI KATIKA 40 YA MTOTO WA ROSE NDAUKA TANGU AZALIWE.

Mtoto wa star mkubwa wa filamu nchini Rose Ndauka alitimiza arobaini tangu azaliwe. Mtoto huyo anaitwa Naveen na baba yake mzazi ni Malick Bandawe(Chiwaman) mwanamuziki wa Bongofleva ambaye ni mchumba wa Rose Ndauka. Mastaa mbalimbali walikuwepo kutoa sapoti kwa Rose kama picha zinavyoonekana hapo chini.

Rose ndauka na Mchumba wake wakiwa na mtoto wao,Naveen Bandawe


                                              Images credit: Jestinageorge blog

No comments:

Post a Comment