Saturday, February 15, 2014

KALA JEREMIAH APATA AJALI,GARI LAKE NYANGA NYANGALeo Kala Jeremiah kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha inayoonyesha ajali aliyoipata wakati akitokea kwenye show yake iliyokuwa ikifanyika Club East 24 ambayo alikua akifanya show pamoja The B Band ya Banana Zoro.

Hiki ndicho alichokipost Kala Jeremiah kupitia ukurasa wake wa Instagram.

POLE SANA KAKA KWA AJALI.

No comments:

Post a Comment