


Hapa wanakijiji wakiwashangaa Jeska na shoga yake wakipiga picha za kuonesha maungo yake huku kavulana kakificha uso wake.
Na Mwandishi wa Xdeejayz Mwanza
Yule
bint wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii ameendelea
kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya kurusha
hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena mtoni huko
Kijijini Mwanza.
Xdeejayz
kama kawaida yake imefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye account ya
Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe na kuchukulia
kawaida sana.
Hata
hivyo kwa mujibu wa chanzo chetu picha hizo ambazo kama zinavyooneka
wamepiga kwa hiyari yao wenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila
kujitambua la hasha na walidhamilia kufanya hivyo kwa ajili ya mauzo.
Jeska
ambae kwenye Account yake ya Facebook anatumia jina la King Kikii Dota
alizimwaga picha hizo ili zisambae makusudi" Hata hivyo hali halisi
wananchi wanaonekana kushangazwa na tukio hilo huku watoto wadogo nao
wakishuhudia video hiyo ya bure
Lakini
hata wanachi mbalimbali naa mashabiki wa muziki wa dance nchini
wamemuhurumia sana mwanamuziki King Kikii na kusema kuwa mwanae huyo an
ampango wa kumuua babaake kwa presure kutokana na upuuzi anaoufanya.
Mtandao
huu ulifanya jitahada za kumtafuta msichana huyo kupitia simu yake ya
kiganjani lakini hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani.
Xdeejayz
kushirikiana na watanzania wanaoitakia mema nchi tuna lani vikali
vitendo vya kuidhalilishaji vinavyofanywa na wasichana hao tena kwa
makusudi na tunasisitiza sisi kama chombo cha habari kuwa hali hiyo
haikubariki na inapaswa kupingwa kwa nguvu zote.
No comments:
Post a Comment