Tuesday, February 04, 2014

MVUA KUBWA ZILIZONYESHA JIJINI MBEYA ZALETA MAFURIKO NA UHARIBIFU ENEO LA ILOLO ANGALIA PICHA

Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 akilia kwa uchungu kuwa vitu vyote vya ndani vimeharibika pia anamshukuru mungu kumponya na mafuriko hayo kwani alikuwa amelala maji ndiyo yamestua kitandani kwani maji yaliingia mpaka ndaniBibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyakeKanisa la Moravian Ilolo likiwa limejaa maji ndani


Hakika inasikitisha watoto hawa wametoka shule wanakuta nyumba yao imebomoka na mvua kubwa ilionyesha jijini Mbeya  wazahi wa watoto hao hawakuwepo nyumbani

Mwenyekiti wa mataa Sinde A  Anyandwile Mwansanu akiongea na waandishi wa habari

Mama na mwanae mgongoni hajui aanzie wapi kutoa maji yalioingia nyumbani kwake

Picha na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment