Monday, February 10, 2014

TAZAMA PICHA JINSI MADUKA YALIVYOFUNGWA KARIAKOO,NI MGOMO WA WAFANYABIASHARA

SAM_3723 (FILEminimizer)
Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara kariakoo yaliyofungwa
SAM_3724 (FILEminimizer)
kkoo1
Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine.
Mitaa yote ya Kariakoo, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung’ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.
Wafanyabishara wanapinga bei kubwa ya mashine ambayo ni milioni moja mpaka lakini nane.

No comments:

Post a Comment