Wednesday, April 02, 2014

HUDDAH WA KENYA AZIDI KUWEKA PICHA ZA UCHI

Dada huyu wa huko kenya, inasemekana kuwa upigaji wa picha za *** ndio kitu kilicho mpa umaarufu mkubwa sana kuliko hata kushiriki Big Brother Africa. Watu wanadai kwamba amekua akionekana mara kwa mara mitandaoni tofauti na washiriki waliopita kutokana na picha zake hizo Pia imeshauriwa kuwa tabia hiyo inaweza kumjengea picha mbaya hata kumfanya kukosa madili mengine makubwa. 

No comments:

Post a Comment