Monday, April 14, 2014

TAZAMA PICHA ZA SHOW KALI NA VURUGU ZILIZOTOKEA KWENYE SHOW YA DAVIDO NCHINI MAREKANI.

Davido afunika mbovu kwenye ukumbi wa Pulse 48 Brooklyn, NY. Ukumbi huu unauwezo wa kuingiza watu zaidi ya Elf 1 lakini ulijaa na kusababisha vurugu na watu kupoteza fahamu kutokana na kukosa hewa. Kiingilio cha show hii kilikuwa ni kuanzia Dollar 40, ukinunua kabla ya show na mlangoni ilikuwa Dollar 60, VIP kwa watu wanne ilikuwa Dollar 650.


Davido alizikonga nyoyo za mashabiki wake kabla ya show kufunjwa na polisi wa usalama na wa zimamoto.

Moja ya ugomvi mkubwa uliotokea kabla ya Davido kupanda jukwaani.

Watu walijaa kupita hadi kukosekani amani ndani ya ukumbi huu licha ya winter watu walisweat kama punda.

Huu ndiyo umati uliojitokeza katika show hiyo ya Davido ukodak wa Vijimambo kama kawaida ulikuwa live ndani ukumbi huo.

Nilivutiwa na bango hili kwenye stage linalomwonesha Diamond kuwa ni mmoja kati ya wanaowania tunzo ya AFRIMMA. Sherehe za kukabizi tunzo hizo zitafanyaka july 26 katika ukumbi wa Eisemann Center Richardson, Dallas, TX

Ugomvi ndani ya ukumbi Vijimambo kama kawaida on point.....!!

Mtu kapoteza fahamu baada ya kuzidiwa na hali ya hewa.
No comments:

Post a Comment