Saturday, April 05, 2014

TAZAMA VIDEO YA WEMA ALIVYOZUA TIMBWILI GLOBAL, NAKUJIITA CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!KISA PENZI LA DIAMOND


Hivi ndivyo msanii wa filamu Tanzania wema sepetu alivyotinga na kuleta timbwili lisilo la kawaida katika ofisi za magazeti ya Globalpublisher yenye ofisi zake Namanga jiji Dar eas salam akilalamika kuandikwa kwa mpenzi wake Ambaye ni Diamond huku yeye pia akilalamika kuandikwa kuwa ni msagaji.
Ama kwa hakika ilikuwa ni vurugu tosha katika ofisi hizo zilizolazimu polisi kuitwa na kutinga eneo husika wema alikuwa kaongozana na meneja wake pamoja na mtu wake wa karibu Petiman huku akisisitiza kuwa yeye ni chizi na atawaonyesha jambo lililofanya global nao kumuambia hata wao ni machizi zaidi yake sasa mdau wa thesuperstarstz hebu angalia alafu nipe maoni nani chizi kati ya wema na Global
Tazama video ya tukio hilo hapa chini.

No comments:

Post a Comment