Monday, May 19, 2014

ANGALIA PICHA MWILI WA ADAM KUAMBIANA UKITOLEWA MOCHWARI MUHIMBILI KUPELEKWA NYUMBANI KWAKE BUNJU

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa ndani ya gari la kubebea maiti baada ya kuchukuliwa moshwari Muhimbili, unapelekwa nyumbani kwake, Bunju, Dar ambako utalala huko kabla ya kuagwa Viwanja vya Leaders na kuzikwa Kinondoni, kesho.
Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu, mmoja akiwa amedondoka baada ya mwili wa Kuambiana kuwekwa kwenye gari la kubebea maiti nje ya moshwari Muhimbili Dar.
 
Msanii wa Filamu Bongo, Dude akihojiwa na Global TV On Line nje ya moshwari, Muhimbili.
Mmoja wa wasanii wa Bongo Muvi akihojiwa na Global TV on line.
Dude(kulia), Johari, (katikati) na msanii mwingine wakiwa nje ya mochwari, Muhimbili wakisubiri mwili wa marehemu Adam Kuambiana kutolewa na kusafirishwa kwenda Bunju, Dar leo mchana.
(PICHA NA DENIS MTIMA NA GABRIEL NG'OSHA/ GPL.)

2 comments:

  1. poleni sana wasanii wote tanzania kwakumpoteza kijani mtiifu rocation na wakujituma katika mihangaiko yote lakini nimipango yamoro kumchukua isharaaa mora amraze mahhari pema peponi

    ReplyDelete
  2. tutasononeka sana lakkini lipangwalo na mora hutoweza pangua kikubwa nikukaza kamba ya tasnia ya filim ifike mbali

    ReplyDelete