Tuesday, May 27, 2014

BREAKING NEWSSS;;;;MSANII WA BONGO MOVIE "RECHO" AFARIKI DUNIA ASUBUHI HII

RACHEL HAULE ENZI ZA UHAI WAKE

:Recho Haule amefariki dunia
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia asubuhi hii. Marehemu amepoteza maisha mara baada ya kujifungua. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

No comments:

Post a Comment