Monday, May 26, 2014

INASIKITISHA TAZAMA PICHA ZA VIDEO QUEEN WA NYIMBO YA ICE CREAM ILIYOIMBWA NA NOORAH ALIYETUMBUKIA KWENYE MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA RAY C KUMUOKOA

Ray C
Unaikumbuka nyimbo ya Ice Cream iliyoimbwa na Noorah? Ni nyimbo nzuri iliyotamba miaka iliyopita na kuvuma zaidi baada ya video yake kutoka ambapo ndani yake kulikuwa na Video queen aliyefahamika kwa jina la Doreen.
Taarifa zilianza kusambaa kuwa mwanadada huyo kwa sasa ametumbukia katika tatizo la matumizi ya dawa za kulevya huku akihitaji msaada mkubwa.

No comments:

Post a Comment