Sunday, May 18, 2014

KAMA WATANZANIA NA WANA AFRICA MASHARIKI TUKIAMUA AMINI DIAMOND ATASHINDA TUZO ZA BET MWAKA HUU

Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )Screen Shot 2014-05-18 at 2.46.51 AM 

 Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya pili katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama
Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya kijamii basi anaweza kushika nafasi ya kwanza kwa kumpiku alie juu yake ambae kamzidi kwa asilimia 5 tu.
 Screen Shot 2014-05-18 at 2.43.52 AM
 
 Nafasi ya pili inashikwa na Mafikizolo wa South Africa wenye asilimia 24.8, ya pili inashikwa na Diamond kwa 19.94 % ya tatu Tiwa Savage wa Nigeria 17.28%, ya nne Davido 16.55%, ya tano ni Sarkodie (Ghana) 12.23 na ya sita Toofan (9%)

No comments:

Post a Comment