Saturday, May 17, 2014

KILICHOSABABIISHA KIFO CHA ADAM KUAMBIANA HIKI HAPA

Mrehemu Adam Philip Kuambiana enzi za Uhai Wake
Hapa Adam Kuambiana Akiwa na Lightman Profisional Steven Shoo Katikati na Vicent Kigosi Ray  katika kazi

Taarifa kamili juu ya kifo cha gwiji la sanaa nchini marehemu Adamu Philip kuambiana ni kwamba Kimetokea akiwa njiani kupelekwa katika hosptali ya mama ngoma iliyopo mwenge jijini daresalam kutokea katika hoteli ya Siliver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy alipokuwa ameweka kambi ya maandaizi ya filamu mpya  ambapo alidondoka choon mara baada ya kuzidiwa kwa kile kilichoelezwa kuwa ni maradhi ya tumbo akiwa.Kipindi cha nyuma mara kadhaa marehemu alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo na sukari ambayo ilikuwa ikimfanya wakati mwingine kusimama kazi kutokana na maumivu makali. kwasasa mwili wa marehemu umehamishiwa monchwari kwaajili ya kuuhifadhiMungu ailaze roho ya marehemu mala pema pepon Amin.

No comments:

Post a Comment