Thursday, May 29, 2014

MMILIKI WA TIMU YA MANCHESTER UNITED, AFARIKI DUNIA!

Photo: MMILIKI WA TIMU YA MANCHESTER UNITED, AFARIKI DUNIA!

Mmiliki wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia huko nyumbani kwake Marekani akiwa na umri wa miaka 85.

Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi trioni 2.2, na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England.

R.I.P Glazer!

No comments:

Post a Comment