Saturday, May 31, 2014

MONALISA AFUNGUKA KUHUSU KIFO CHA X-HUBBY WAKE GEORGE TYSON..NI MAJONZI MAKUBWAMsanii wa filamu nchini ambaye pia aliwahi kuwa mke wa marehemu  George tayson aliyefariki kwa ajali ya gari jana saa moja usiku akitokea dodoma katika kuazimisha miaka miwili ya kipindi cha The mbon show ameonyesha kuumia sana sana na kifo hicho kwa marehemu ndio mtu wa kwanza kukigundua kipaji chake na kumtoa kisanaa
Monalisa amejikuta akiandika kwa kuonyesha kuguswa na kifo hicho na hichi ndicho aichokiandika mona Monalisa amemlilia Tyson kwa kuandika yafuatayo:

2 comments:

  1. POLE SANAOTO MONALISA, MUNGU AKUPE MATUMAINI MAPYA WEWE NA MTOTO WAKO SONIA

    ReplyDelete
  2. Mungu amlaze mahala pema peponi, poleni wafiwa wote

    ReplyDelete