Monday, May 19, 2014

MSANII RECHO WATOA MIDUME UDENDA KUTOKANA NA KIVAZ CHAKE

Winfrida Josephat ‘Recho’ ametia Aibu baada ya kupanda  jukwaani  akiwa na  nguo  ya  ndani  tu, hali iliyosababisha  maungo  yake  nyeti  yabaki  hadharani....
 
Ishu hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo, Dar ambapo kulikuwa na kinyang’anyiro cha kumsaka mlimbwende wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo Dar huku Recho akiwa mtumbuizaji.
 
Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, Recho alipanda kwa steji kupiga shoo akiwa ametinga kivazi hicho ambacho kilikuwa ni sawa na chup*** , hivyo kuibua gumzo kwenye shindano hilo ambalo aliyeibuka kidedea ni Junis Ndalima.

No comments:

Post a Comment