Thursday, May 29, 2014

PICHA ZOTE ZA MAZISHI YA RECHO HAULE MAARUFU KAMA RECHO SAGUDA,,,,UWOYA ASHINDWA KUJIZUIA AZIMIA
Mwili wa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule umeagwa leo hii katika viwanja vya Leaders na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Kinondoni. Wasanii wengi ndugu, jamaa na marafiki wamejawa katika simanzi kubwa huku Irene Uwoya akizimia pengine kwa mshituko wa kuondokewa na msanii mwenzao. Angalia picha zikionyesha matukio ya mwili wa Rachel tangu akitolewa Muhimbili, kupelekwa Sinza na Leaders..........

Irene Uwoya akiwa amezimia 
 
 
  Mungu uilaze roho ya marehemu recho leo haule na kichanga chake mahali pema pepon amin

No comments:

Post a Comment