Saturday, May 31, 2014

PIGO JINGINE BONGO MOVIE DIRECTOR MKUBWA NA MWALIMU WA WENGI GEORGE TAYSON AFARIKI DUNIA

Alikuwa muongozaji mkongwe wa filamu nchini tanzania ambaye ni raiya wa kenya Georg Tayson amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ajali ya gari huko kibaigwa mara baada ya tairi la mbele kuasuka wakati wakitokea dodoma ambapo walienda kuazimisha miaka miwili ya kipindi cha The Mboni Show

Taison ambaye alikuwa ni mzazi mwenzie na Msanii wa filam Ivory shery Monalisa ambapo walizaa mtoto mmoja ajulikanae kama son, ni kwamba kwasasa hatunae tena amakwa hakika inaumaa sana  eeeeh mwenyezi Mungu msamehe makosa yake, ila inauma sana, tangulia tupo nyuma yako, R.I.P GEORGE TYSON

1 comment:

  1. poleni sana wadau wa filamu na wasanii kwa ujumla kwa kuondokewa na mwenzenu. mlimpeda ila Mungu kampeda zaidi. tumwombee huko aendako.
    BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

    ReplyDelete