Saturday, May 17, 2014

PIGO JINGINE KWA BONGO MOVIE MSANII MKUBWA WA FILAMU ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

Marehemu Adamu Philiph Kuambiana
Habari tulizozipokea muda mfupi toka katika vyanzo vyetu vya habari ni kwamba msanii mkubwa wa filamu nchini tanzania Adam philiph kuambiana Amefariki dunia.
Adam ambaye alitamba na filamu kama FAKE PASTOR,REGINA,Najuzi kaingiza filamu  sokoni inayoitwa ULIYEMCHOKOZA KAJA thesuperstarstz bado inafuatilia na sasa ipo njian kuelekea eneo la tukio na muda sio mrefu tutakujulisha kila kitu kutokana na jambo hili zito bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment