Saturday, May 31, 2014

TAZAMA PICHA MWILI WA GEOGRE TYSON UKIHAMISHWA KUTOKA MOROGORO KUJA Dar es Salaam

IMG_4257
Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na crew yake nzima kuja kumpa pole Mbonie Masimba, AY alitoa laki 6 kununua jeneza la marehemu Tyson hii ikiwa kama mchango wake kwa kuthamini kile alichomfania wakati akiwa hai. Sasa msafara unaelekea Bongo na mwili utafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na naambiwa msiba uko upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.
IMG_4263 
 IMG_4268 
 IMG_4270 
 IMG_4271 
 IMG_4272 
 IMG_4273 
 IMG_4275 
 IMG_4276 
 IMG_4277 
 IMG_4294 
 IMG_4296 
 IMG_4297

No comments:

Post a Comment