Saturday, May 31, 2014

TAZAMA PICHA ZA MWISHO NA GARI ALILOPATA NALO AJALI MAREHEMU GEORGE TYSON

IMG_4162
Pichani ni Marehemu George Tyson akiwa  kijiji cha Chilonwa Chamwino mkoani Dodoma wakati wa zoezi la utoaji wa madawati akiwa kama muongozaji wa kipindi cha The Mboni Show , muda mchache kabla ya mauti kumkuta.
IMG_4166 Dj Choka, zipompa na Georger Tyson
IMG_4176
Mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Show, Mboni Masimba katika picha ya mwisho na Tyson
Gari alilopata nalo Ajali1
 Gari aina ya Toyota Hiace iliyomsababishia umauti TysonIMG_4214 
IMG_4215
 
  Picha kwa hisani ya Dj Choka

No comments:

Post a Comment