Saturday, June 14, 2014

BREAKING NEWS BOMU LALIPUKA ZNZ

 

Watu wawili ambao walikua wanatoka mckitini baada ya sala ya ishaa darajan zanzibar wameripuka na bomu ambalo lilitegeshwa kwenye gari... mara tu baada ya kufungua mlango wa gari.. mmoja ameaga dunia hapo hapo na mwengine yupo hali mbaya.Bado the superstarstz inalifuatilia hili swala na itakupa habari

No comments:

Post a Comment