Sunday, June 08, 2014

BREAKING NEWS:ALIYEKUWA MCHEKESHAJI MAARUFU MZEE SMALL AFARIKI DUNI

MZEESMALLAFARIKI


Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small.  Bwana alikuweka katika dunia hii na yeye amekutwa hakika jina lake lihimidiwe Amin.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

No comments:

Post a Comment