Thursday, June 05, 2014

DIAMOND AONGEA YA MOYON KUHUSU RAIS KIKWETE CHEKI KIKWETE ALICHOMFANYIA DIAMOND

Kwenye hii picha President ameonekana akiwa karibu sana na meneja wa Trey Songz na waliongea kwa kirefu, kwa sababu President siku zote anasupport sana Wasanii wake wa Tanzania.

[Where will you get a President who sacrifices his precious time that almost everyone of us wishes to have and

uses that time to help you meet and get connections with one of the biggest Music supporters in the Planet inorder to just make sure you reach and achieve your goals... What more can I say other than A big Thank you to Mr.President... God keep showering you with endless blessings and stand by you throughout your ruling...]
[Wapi Utapata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa Thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani..akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na Mdau mkubwa Duniani katikaa tasnia uliyopo, ili kuhakikisha tu Unafikia Malengo na Ndoto ya kazi zako.... Dah! Asante sana Mh Rais, /Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusmamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako...
Trey Songz
[Wapi Utapata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa Thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani..akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na Mdau mkubwa Duniani katikaa tasnia uliyopo, ili kuhakikisha tu Unafikia Malengo na Ndoto ya kazi zako.... Dah! Asante sana Mh Rais, /Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusmamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako.

1 comment:

  1. mr diamond tunakukubari sana sisi watanzania ...ndio maana hata raisi wetu hakukuacha mbali

    ReplyDelete