Sunday, June 15, 2014

HIVI NDIO ALIVYOZIKWA MAREHEMU GEORGE TYSON HUKO KENYA

1
Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa siku ya leo kijijini kwao Siaya  nchini Kenya.
2
 Mama wa Marehemu George Tyson, Mwongozaji Filam maarufu nchini Tanzania na Kenya akiweka udongo katika kaburi la mtoto wake, George Tyson .Chini ni mama wa marehemu akiwa na huzuni baada ya kuweka udongo katika kaburi la mwanae
34 Mtoto wa Marehemu, Sonia akilia kwa uchungu wakati wa kuweka udongo katika kaburi la baba yake …
5                     Marehemu George Tyson katika  enzi  za  uhai  wake.

No comments:

Post a Comment